In Bungeni , Dini , Habari , Kitaifa October 1, 2021 55 Views Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha wakati wa kuaga mwili wa Naibu Waziri huyo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha wakati wa kuaga mwili wa Naibu Waziri huyo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akitoa pole kwa familia ya aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Translate »
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *